Timu ya Tanzania Taifa Stars
Michuano ya soka kuwania Tiketi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa
barani Afrika hapo mwakani nchini Morocco imeanza mwishoni mwa wiki hii
kwa mechi kadhaa barani Afrika ambapo katika mechi iliyochezwa jijini
Dar es Salaam Tanzania, Taifa Stars imeilaza Zimbabwe bao 1-0.
Bao hilo pekee na la ushindi la Taifa Stars limetiwa kimiani mapema na
Mshambuliaji John Bocco kufutaia krosi ya Thomas Ulimwengu kutoka wingi
ya kulia ikiwa ni dakika ya 14 ya mchezo.
Kwa upande wake nahodha wa taifa Stars anasema ushindi huo japo ni
mwembamba lakini si jambo dogo kwa sababu wanaweza kupata bao la ugenini
mapema na kasha kuweza kupangilia namna na kulinda ushindi huo.
Naye Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayesukuma ngozi kwenye
klabuya TP Mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo anasema kwa kiasi
Fulani kucheza mechi mbili ndani ya saa 48,baada ya Ijumaa kucheza dhidi
ya Al Hilal ya Sudan kwa kiasi Fulani kulimchosha kimchezo na hivyo
kushindwa kuitumikia vema Tanzania kuweza kuipatia ushindi.
Kufuatia ushindi huo Mwembamba Kocha wa Tiofa Stars mholanzi Marti Noij anasema
Si kwamba sisi ni Tanzania wazuri sana kuliko
Zimbabwe au kwamba wao ni wazuriu sana kulikosisi kiuwezo,lakini mechi
ijayo itakuwa ngumu na naamini timu itakayotumia nafasi itakazopata vema
ndiyo itaibuka na ushindi,mechi itakuwa ngumu kwa sasabu huu ni mtoano.
Naye Kocha wa Zimbabwe Ian Gorowa anasema,
kufuatia majeruhi wengikatika kikosi chake waliwamua waliamukuwapa
nafasi vijana chipukizi ambao walionyesha uwezo mkubwa na akakiri kuwa
Tanzania ni timu nzuri na nawapongeza lakini mechi ijayo mjini Harare
ndiyo itaamua nanio anasonga mbele.
Kwa matokeo hayo Tanzania itahitaji sare ya
namna yoyote ili kusonga mbele katika raundi ya pili kuelekea kusaka
tiketi ya Moroco hapo mwakani,baada kuzikosa Fainali za Matifa Afrika
kwa zaidi ya miaka 34,
Naye Mdau mwingine wa soka nchini ambaye pia ni
Mbunge wa chama cha upinzanii Chadema Zitto Kabwe pamoja na ushindi huo
mwembamba anasema Taifa Stars inafaa kuungwa mkono kwa mechi ya
marudiano mjini Harare.
Tuesday, 20 May 2014
Browse: Home
» Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0
Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0
Posted by mkachu | Tagged as:
Habari na U Chambuzi
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
MTANDAO WA KIJAMII
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
eshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia. ...
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM) party stalwart Rostam Aziz has earned USD 240 million (about Tsh. 384,000,000,000/-) from selling part of his st...
-
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mw...
-
Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa F...
-
Madrasa hii ilianzishwa mnamo mwaka 2005 ikiwakama madrasa ya nyumbani ikiwa ndani ya jiji la Mwanza katika kito ngoji cha Bugando je...
-
Juhudi za serikali dhidi ya kundi hilo hazijaonekana kuzaa matunda Taarifa kutoka nchini Nigeria, zinasema kuwa mamia ya watu waliuawa...
-
Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gu...
-
Marekani kusaidia kuwasaka wasichana waliotekwa na Boko Haram Serikali ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote zitakazo...
-
Baadhi hutengeza maji ya sharubati kwa kuichanganya na matunda Baadhi wanaamini kuwa Kondo la nyuma huwa na madini mengi ambayo hayapaswi...
-
Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chum...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Pages
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
TANGAZA NASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Total Pageviews
3207
Labels
DOWNLOAD QASWIDA
islamic
islami news
Social Icons
islamic
Blog Archive
-
▼
2014
(48)
-
▼
May
(34)
- SIKIA LADHA ZA NYUMBAN HAPA
- JAMANI TUSEMEN WOTE KWAPAMOJA INA LILAHI WAINA ILA...
- Je Unazijua Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa Au Huwa Watu...
- Diva Aweka Picha Mtandaoni Akiliwa Denda
- Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0
- Wanafunzi wapinga kuongezwa karo Kenya
- TZ yapambana na Homa ya Dengue
- Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa akili
- Wanawake waomba mapadre waoe
- Ehud Olmert jela kwa miaka sita
- UN yalaaani shambulizi Somalia
- Nigeria tayari 'kulegeza msimamo'
- ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
- Njia za kula Kondo la Nyuma
- Je ulijua kama Kondo la Nyuma au 'Placenta' huliwa?
- Kwa Wale Wadada Wa Mjini Wanaopenda Kuvaa Mawigi K...
- Marekani yaanza kutumia makombora yenye madin ya y...
- ManCity wanukia ubingwa England
- Cameron:Waliotekwa Nigeria warejeshwe
- Mapigano yazuka upya Sudan Kusini
- Mradi wa reli mpya watiwa saini Nairobi
- Tazama Picha 10 Za Mahabusu Walioamua Kuvua Ngua N...
- Mfahamu Tajiri Namba Moja Hapa Tanzania Mwenye Mab...
- ANGALIA MWILI WA FIRAUN-LANA TULLAH
- Je Marekani imechelewa kusaidia Nigeria?
- INNA LLAHI WA INAILAIKA RAJIUN
- Mamia wauawa na Boko Haram Nigeria
- Wito wa kuwaokoa wasichana Nigeria
- Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa
- Kisanga cha mahabusu kuvua nguo TZ
- MARKAZ MISS BAHUL HUDA IMEANZISHWA MNAMO MWAKA 2005
- Vita vya ndugu kupiganiwa ugenini
- Nigeria kufunga Shule na Ofisi Jumatano
- Watatu wauawa kwa bomu Mombasa
-
▼
May
(34)
Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...