Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania,
Jumanne walisababisha vurugu katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi
mjini humo baada ya kuvua nguo na kugoma kushuka kwenye basi
lililowachukua kwenda mahakamani wakipinga kitendo cha watuhumiwa wawili
wa dawa za kulevya kuachiwa huru
Watuhumiwa wanaolalamikiwa ambao mashtaka yao yalibadilishwa mara mbili
ili wapewe dhamana ni Dharam Patel na Nivan Patel wanaodaiwa kukamatwa
na kete 173 za heroini na misokoto 300 ya bangi, Aprili,2014
Kwa mujibu wa watu waliokuwa katika eneo la mahakama hayo, mahabusu hao
walikuwa wakipaza sauti kupinga madaraja(ubaguzi) miongoni mwa
watuhumiwa, wenye uwezo kifedha na wasio nacho, hali ambayo imesababisha
wengine kuachiwa na wengine kuendelea kusota magerezani kwa kisingizio
cha "upelelezi haujakamilika
Mahabusu
hao walisikika wakipaza sauti kutoka ndani ya basi: "Wenzetu hata mwezi
haujaisha wanafutiwa kesi, jamani sisi tumekosa nini? Tunataka haki
itendeke kwa wote" walisema.
Kuachiwa kwa watuhumiwa wanaolalamikiwa na
mahabusu wenzao kunasemekana kumetokana na hatua ya Ofisi ya Mkurugenzi
wa Mashtaka Arusha kubadilisha hati ya mashitaka na hivyo kuwawezesha
kupata dhamana.
Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za
Kulevya, Godfrey Nzowa ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa ofisi yake
haina taarifa za watuhumiwa hao kupewa dhamana lakini alisema kulikuwa
na jaribio la kufanya hivyo.
Bwana Nzowa amesema baada ya kubainika njama
hizo, ofisi yake ilipinga, akisema kuwa kosa la watuhumiwa lilikuwa wazi
na hivyo kuonyesha hali ya kutoamini kuwa watuhumiwa wanaweza kupata
dhamana kwa kosa hilo!
Hata hivyo Ofisi ya Mwendesha Mashitaka, DPP
haijaweza kulitolea maelezo suala la mahabusu hao kulalamikia mahabusu
wenzao kupendelewa katika utoaji wa haki kwa makosa wanayotuhumiwa.
Wednesday, 7 May 2014
Browse: Home
» Kisanga cha mahabusu kuvua nguo TZ
Kisanga cha mahabusu kuvua nguo TZ
Posted by mkachu | Tagged as:
Habari na U Chambuzi
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
MTANDAO WA KIJAMII
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
eshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia. ...
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM) party stalwart Rostam Aziz has earned USD 240 million (about Tsh. 384,000,000,000/-) from selling part of his st...
-
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mw...
-
Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa F...
-
Madrasa hii ilianzishwa mnamo mwaka 2005 ikiwakama madrasa ya nyumbani ikiwa ndani ya jiji la Mwanza katika kito ngoji cha Bugando je...
-
Juhudi za serikali dhidi ya kundi hilo hazijaonekana kuzaa matunda Taarifa kutoka nchini Nigeria, zinasema kuwa mamia ya watu waliuawa...
-
Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gu...
-
Marekani kusaidia kuwasaka wasichana waliotekwa na Boko Haram Serikali ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote zitakazo...
-
Baadhi hutengeza maji ya sharubati kwa kuichanganya na matunda Baadhi wanaamini kuwa Kondo la nyuma huwa na madini mengi ambayo hayapaswi...
-
Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chum...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Pages
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
TANGAZA NASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Total Pageviews
3208
Labels
DOWNLOAD QASWIDA
islamic
islami news
Social Icons
islamic
Blog Archive
-
▼
2014
(48)
-
▼
May
(34)
- SIKIA LADHA ZA NYUMBAN HAPA
- JAMANI TUSEMEN WOTE KWAPAMOJA INA LILAHI WAINA ILA...
- Je Unazijua Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa Au Huwa Watu...
- Diva Aweka Picha Mtandaoni Akiliwa Denda
- Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0
- Wanafunzi wapinga kuongezwa karo Kenya
- TZ yapambana na Homa ya Dengue
- Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa akili
- Wanawake waomba mapadre waoe
- Ehud Olmert jela kwa miaka sita
- UN yalaaani shambulizi Somalia
- Nigeria tayari 'kulegeza msimamo'
- ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
- Njia za kula Kondo la Nyuma
- Je ulijua kama Kondo la Nyuma au 'Placenta' huliwa?
- Kwa Wale Wadada Wa Mjini Wanaopenda Kuvaa Mawigi K...
- Marekani yaanza kutumia makombora yenye madin ya y...
- ManCity wanukia ubingwa England
- Cameron:Waliotekwa Nigeria warejeshwe
- Mapigano yazuka upya Sudan Kusini
- Mradi wa reli mpya watiwa saini Nairobi
- Tazama Picha 10 Za Mahabusu Walioamua Kuvua Ngua N...
- Mfahamu Tajiri Namba Moja Hapa Tanzania Mwenye Mab...
- ANGALIA MWILI WA FIRAUN-LANA TULLAH
- Je Marekani imechelewa kusaidia Nigeria?
- INNA LLAHI WA INAILAIKA RAJIUN
- Mamia wauawa na Boko Haram Nigeria
- Wito wa kuwaokoa wasichana Nigeria
- Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa
- Kisanga cha mahabusu kuvua nguo TZ
- MARKAZ MISS BAHUL HUDA IMEANZISHWA MNAMO MWAKA 2005
- Vita vya ndugu kupiganiwa ugenini
- Nigeria kufunga Shule na Ofisi Jumatano
- Watatu wauawa kwa bomu Mombasa
-
▼
May
(34)
Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...