683 wahukumiwa kifo nchini Misri.
Jali alipokuwa anatoa hukumu,
jamaa na familia za watuhumiwa walikuwa nje
ya mahakama tayari kupokea hukumu dhidi ya wapendwa wao
ya mahakama tayari kupokea hukumu dhidi ya wapendwa wao
Jali alipokuwa anatoa hukumu,
jamaa na familia za watuhumiwa walikuwa nje ya mahakama tayari kupokea
hukumu dhidi ya wapendwa wao
Mahakama nchini Misri hii leo
imetoa hukumu ya kifo kwa watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa vuguvugu
la Muslim Brotherhood.
Polisi walilazimika kuweza
kizuizi hiki ili kuzuia watu kuingia upande wa mahakama. Serikali tangu
hapo imekuwa ikiwasaka watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Muslim
Botherhood ambao rais wao aliondolewa mamlakani na jeshi