Asema uchaguzi wa Urais uliopangwa kufanywa Mei 25, ni hatua inayofaa.
Katika hatua ambayo haikutarajiwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa
wito kwa makundi yanayotaka kujitenga wanaounga mkono Urusi Kusini
Mashariki mwa Ukraine waahirishe kura ya maoni ya Jumapili juu ya kutaka
kujitenga kama hatua muhimu kuimarisha mashauriano ya amani kati ya
makundi yanayozozana nchini humo.
Rais Putin alisema kuwa hatua hiyo itaimarisha mazingira ya kufanya
mashauriano kati ya Serikali ya Ukraine na wale nchini wanaopendelea
Urusi wanaotaka maeneo yao kujitenga na kuungana na Urusi.
Amesema kuwa uchaguzi wa Urais uliopangwa kufanywa Mei 25, ni hatua inayofaa.
Siku chache zilizopita Bwana Putin alitaja uwezekano wa kuwa na
uchaguzi huo wa Urais kama upuzi mtupu. Lakini katika taarifa ya hivi
sasa Bwana Putin amesema uchaguzi huo hautakuwa na maana iwapo raia wote
wa Ukraine hawatahusishwa na kuwahakikishia jinsi haki zao
zitakavyolindwa baada ya uchaguzi.
Vladmir Putin pia alidai kuwa Urusi imewaondoa wanajeshi wake kwenye mpaka wake na Ukraine.
Hata hivyo mataifa ya Magharibi yanatarajiwa kutoamini hakikisho hili hadi watakaposhuhudia kinachoendelea mpakani.
Mataifa hayo pia yanasubiri kuona iwapo taarifa ya Putin itapunguza uhasama miongoni mwa wananchi wa Ukraine.
Thursday, 8 May 2014
Browse: Home
» Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa
Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa
Posted by mkachu |  Tagged as:
Habari na U Chambuzi
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
MTANDAO WA KIJAMII
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
eshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia. ...
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM) party stalwart Rostam Aziz has earned USD 240 million (about Tsh. 384,000,000,000/-) from selling part of his st...
-
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mw...
-
Diva Aweka Picha Mtandaoni Akiliwa Denda Na Mwanaume Mwingine, Kisha Kusema Baby Wake GK Siyo Mswahili...!! Tazama Picha Hiyo Hapa ...
-
Ehud Olmert Mahakama moja nchini Israel imempa kifungo cha miaka sita jela aliyekuwa waziri mkuu nchini Israel Ehud Olmert kwa kosa la ...
-
Maelfu ya watu wanaokabiliwa na uhaba wa chakula nchini Kenya wanatarajiwa kupata afueni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuzindua rasmi m...
-
Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gu...
-
Kumekuwa na jaribio lililotibuka la kumuua kaimu waziri wa ndani nchini Libya Al-Sidik Abdel-Karim. Shirika la kitaifa la habari LANA n...
-
Pistorius akiwa mahakamani Jaji katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanza kufanyiwa u...
-
Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya dengue iliyozuka mapema mwaka huu. Watu watatu mpaka sasa wameripotiwa ...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Pages
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
TANGAZA NASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Total Pageviews
Labels
DOWNLOAD QASWIDA
islamic
islami news
Social Icons
islamic
Blog Archive
-
▼
2014
(48)
-
▼
May
(34)
- SIKIA LADHA ZA NYUMBAN HAPA
- JAMANI TUSEMEN WOTE KWAPAMOJA INA LILAHI WAINA ILA...
- Je Unazijua Tabia Za Mwanamke Wa Kuoa Au Huwa Watu...
- Diva Aweka Picha Mtandaoni Akiliwa Denda
- Tanzania yaibamiza Zimbabwe 1 - 0
- Wanafunzi wapinga kuongezwa karo Kenya
- TZ yapambana na Homa ya Dengue
- Pistorius kufanyiwa uchunguzi wa akili
- Wanawake waomba mapadre waoe
- Ehud Olmert jela kwa miaka sita
- UN yalaaani shambulizi Somalia
- Nigeria tayari 'kulegeza msimamo'
- ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
- Njia za kula Kondo la Nyuma
- Je ulijua kama Kondo la Nyuma au 'Placenta' huliwa?
- Kwa Wale Wadada Wa Mjini Wanaopenda Kuvaa Mawigi K...
- Marekani yaanza kutumia makombora yenye madin ya y...
- ManCity wanukia ubingwa England
- Cameron:Waliotekwa Nigeria warejeshwe
- Mapigano yazuka upya Sudan Kusini
- Mradi wa reli mpya watiwa saini Nairobi
- Tazama Picha 10 Za Mahabusu Walioamua Kuvua Ngua N...
- Mfahamu Tajiri Namba Moja Hapa Tanzania Mwenye Mab...
- ANGALIA MWILI WA FIRAUN-LANA TULLAH
- Je Marekani imechelewa kusaidia Nigeria?
- INNA LLAHI WA INAILAIKA RAJIUN
- Mamia wauawa na Boko Haram Nigeria
- Wito wa kuwaokoa wasichana Nigeria
- Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa
- Kisanga cha mahabusu kuvua nguo TZ
- MARKAZ MISS BAHUL HUDA IMEANZISHWA MNAMO MWAKA 2005
- Vita vya ndugu kupiganiwa ugenini
- Nigeria kufunga Shule na Ofisi Jumatano
- Watatu wauawa kwa bomu Mombasa
-
▼
May
(34)
Author

CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...