Maelfu ya watu wanaokabiliwa na uhaba wa chakula nchini
Kenya
wanatarajiwa kupata afueni baada ya Rais Uhuru
Kenyatta kuzindua rasmi
mpango wa kuwapelekea chakula cha msaada.
Rais Kenyatta akizindua msafara wa lori zilizobeba
chakula cha msaada kwa waathiriwa wa njaa
Lori kumi na moja ziliondoka Ikulu ya Rais mjini Nairobi zikiwa zimebeba
maelfu ya tani za chakuka ikiwemo Mchele, Maharagwe na nafaka zingine
ambazo watu wanaokabiliwa na njaa katika sehemu mbali mbali za nchi
watafaidika navyo.
Hatua ya Rais Kenyatta inakuja wiki moja baada ya halmashauri ya
kitaifa ya kupambana na ukame kuonya serikali kuhusu tisho la uhaba wa
chakula ikisema kuwa majimbo 11 yenye zaidi ya watu milioni moja
yanakabiliwa na tisho hilo la uhaba wa chakula.
Kenyatta alikiri kuwa ni aibu kubwa kuwa nchi
hiyo inatoa msaada wa chakula kwa raia wake ishara kuwa hapakuwa na
mipango yoyote kuweza kuzuia hali hii.
Hata hivyo amesema kuwa serikali haina budi ila kufanya hivyo.
Ameelezea kuhusu mipango tofauti ya serikali
inayonuia kukabiliana na tatizo la uhaba wa chakula ikiwemo kuanzisha
miradi ya kukuza chakula, miradi ya unyunyiziaji mimea maji na miradi
mingine kuhakikisha kuwa Kenya ina uwezo wa kutosha kujilisha.
Maeneo yanayokabiliwa na tisho la njaa ni pamoja
na Samburu, Turkana, Garissa, Mandera, Wajir, Isiolo, Marsabit, Pokot,
Baringo, Tana River jimbo na maeneo ya Lamu .
Waziri wa ugatuzi Ann Waiguru amesema kuwa
chakula kingine cha msaada kinatarajiwa kupelekewa waathiriwa katika
wiki chache zijazo.
Rais Kenyatta amesisitiza kuwa chakula
kitaendelea kupelekwa hadi pale hali itakapokuwa sawa akisema kuwa
mamilioni ya dola imetengwa kuhakikisha kuwa watu wanaokabiliwa na njaa
Thursday, 6 February 2014
Browse: Home
» Kenyatta:'Ni aibu lakini hatuna budi'
Kenyatta:'Ni aibu lakini hatuna budi'
Posted by mkachu |  Tagged as:
Habari na U Chambuzi
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
MTANDAO WA KIJAMII
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mw...
-
eshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia. ...
-
Baadhi ya wahamiaji waliookolewa Jeshi la wanamaji nchini Italia , limepata maiti 30 katika mashua ya uvuvi a...
-
Pistorius akiwa mahakamani Jaji katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanza kufanyiwa u...
-
Diva Aweka Picha Mtandaoni Akiliwa Denda Na Mwanaume Mwingine, Kisha Kusema Baby Wake GK Siyo Mswahili...!! Tazama Picha Hiyo Hapa ...
-
Waziri wa mambo ya nje wa Syria, Walid Muallem, ametoa tisho la kujiondoa kwenye mazungumzo ikiwa hakuna hatua zitakazokuwa zimefikiwa Jum...
-
Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya dengue iliyozuka mapema mwaka huu. Watu watatu mpaka sasa wameripotiwa ...
-
Baadhi hutengeza maji ya sharubati kwa kuichanganya na matunda Baadhi wanaamini kuwa Kondo la nyuma huwa na madini mengi ambayo hayapaswi...
-
Pisto...
-
Wanafunzi walitawanywa kwa kutumia gesi ya kutoa machozi Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Kenya wamezua vurugu wakipinga mpango wa se...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Pages
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
TANGAZA NASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Total Pageviews
Labels
DOWNLOAD QASWIDA
islamic
islami news
Social Icons
islamic
Blog Archive
Author
CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...
Facebook
Twitter
RSS