Kumekuwa na jaribio lililotibuka la kumuua kaimu
waziri wa ndani nchini Libya Al-Sidik Abdel-Karim.
Shirika la kitaifa la habari LANA na lile la AFP
yamethibitisha tukio.
Inaarifiwa kwamba gari
alimokuwa Abdel Karim lilipigwa risasi alipokuwa
akielekea katika mkutano katika makao makuu ya bunge.
Libya imekuwa ikikumbwa na msukosuko wa kisiasa tangu Muamar Gadaffi kuuawa
Abdel-Karim anatarajiwa kuhutubia waandishi habari hivi punde.
Abdel-Karim anatarajiwa kuhutubia waandishi habari hivi punde.
Abdel Karim aliteuliwa na waziri mkuu nchini
Libya kuwa kaimu waziri wa ndani baada ya waziri Mohamed Sheikh
kujiuzulu mnamo Agosti mwaka jana.
Seddik Abdelkarim, alikuwa katika gari lake
aliposhambuliwa na watu wasiojulikana waliomfyatulia risasi. Inaarifiwa
hakuna aliyeuawa kwenye shambulizi hilo.
Libya imekuwa ikikabiliwa na hali ngumu ya
kisiasa tangu waasi kuipindua serikali na kumuua aliyekuwa Rais Muamer
Kadhafi mwaka 2011.
Waziri huyo alikuwa njiani kuelekea bungeni wakati gari lake liliposhambuliwa.
Shambulizi lenyewe limetokea chini ya wiki tatu
baada ya mauaji ya naibu waziri wa viwanda Hassan al-Droui, aliyeuawa
mjini Sirte
Wednesday, 29 January 2014
Browse: Home
» Jaribio la kumuua waziri Libya latibuka
Jaribio la kumuua waziri Libya latibuka
Posted by mkachu |  Tagged as:
Habari na U Chambuzi
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
MTANDAO WA KIJAMII
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
eshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia. ...
-
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mw...
-
Baadhi ya wahamiaji waliookolewa Jeshi la wanamaji nchini Italia , limepata maiti 30 katika mashua ya uvuvi a...
-
Waziri wa mambo ya nje wa Syria, Walid Muallem, ametoa tisho la kujiondoa kwenye mazungumzo ikiwa hakuna hatua zitakazokuwa zimefikiwa Jum...
-
Baadhi hutengeza maji ya sharubati kwa kuichanganya na matunda Baadhi wanaamini kuwa Kondo la nyuma huwa na madini mengi ambayo hayapaswi...
-
Wanafunzi walitawanywa kwa kutumia gesi ya kutoa machozi Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Kenya wamezua vurugu wakipinga mpango wa se...
-
Timu ya Tanzania Taifa Stars Michuano ya soka kuwania Tiketi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa barani Afrika hapo mwakani nchini...
-
Ehud Olmert Mahakama moja nchini Israel imempa kifungo cha miaka sita jela aliyekuwa waziri mkuu nchini Israel Ehud Olmert kwa kosa la ...
-
Taarifa mpya zimeibuka kuhusu shambulizi lililofanywa dhidi ya kanisa moja katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria siku ya Jumap...
-
Milipuko mitatu imetikisa mji mkuu wa Misri, Cairo na kuwaua watu 5 huku zaidi ya tisini wakijeruhiwa. Mlipuko umetokea wakati wa ...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Pages
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
TANGAZA NASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Total Pageviews
Labels
DOWNLOAD QASWIDA
islamic
islami news
Social Icons
islamic
Author
CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...
Facebook
Twitter
RSS