Taarifa mpya zimeibuka kuhusu shambulizi
lililofanywa dhidi ya kanisa
moja katika eneo
la kaskazini mashariki mwa Nigeria siku ya Jumapili.
Kundi la Boko Haram limelaumiwa kufanya mashambulizi
mengi Kaskazini mwa nchi
Askofu wa kanisa hilo Yola, Mamza Dami Stephen, ameiambia BBC kuwa
wapiganaji walilifunga kanisa hilo, katika kijiji cha Waga Chakawa,
baada ya misa na kuwapiga risasi wale wote waliojaribu kutoroka kwa
kupita kwenye madirisha.
Inaarifiwa takriban watu 30 waliuawa kwa njia hiyo.
Siku hiyo hiyo washambuliaji walivamia kijiji cha Kawuri na kuwaua
watu 52. Kundi la Boko Haram limelaumiwa kwa kufanya mashambulizi hayo.
Amesema kuwa baadhi yao walikatwa koo zao.
Takriban watu thelathini walifariki kufuatia shambulizi hilo ambalo
inasemekana limesababishwa na kundi la wapiganaji wa kiislamu la Boko
Haram.
Shambulizi lingine liliwaacha watu hamsini wakiwa wamefariki katika jimbo la Borno.
Wapiganaji wa Boko Haram wanataka kutawala
kutumia sheria za kiisilamu katika nchi ambayo imegagawanyika kati ya
wasilamu na wakristo.
Kundi hilo limewaua maelfu ya watu katika
kipindi cha miaka minne iliyopita, huku kundi hilo likisemekana kuwa
tisho kubwa sana kwa taifa hilo lenye utajiri mkubwa wa mafuta.
Majimbo ya Borno na Adamawa pamoja na jimbo la
Yobe yako chini ya sheria ya hali ya hatari tangu mwezi Mei mwaka jana
huku jeshi likijaribu kupambana na wapiganaji hao wa kiisilamu.
Wednesday, 29 January 2014
Browse: Home
» Taarifa mpya kuhusu shambulizi Nigeria
Taarifa mpya kuhusu shambulizi Nigeria
Posted by mkachu |  Tagged as:
Habari na U Chambuzi
HALI YA HEWA
TANGAZANASI
MTANDAO WA KIJAMII
ZILIZO SOMWA ZAIDI
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM) party stalwart Rostam Aziz has earned USD 240 million (about Tsh. 384,000,000,000/-) from selling part of his st...
-
eshi la Marekani limefanya shambulizi la makombora dhidi ya mtu anayeshukiwa kuwa mmoja wa viongozi wa al-Shabaab nchini Somalia. ...
-
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mw...
-
Kumekuwa na jaribio lililotibuka la kumuua kaimu waziri wa ndani nchini Libya Al-Sidik Abdel-Karim. Shirika la kitaifa la habari LANA n...
-
Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya dengue iliyozuka mapema mwaka huu. Watu watatu mpaka sasa wameripotiwa ...
-
Baadhi hutengeza maji ya sharubati kwa kuichanganya na matunda Baadhi wanaamini kuwa Kondo la nyuma huwa na madini mengi ambayo hayapaswi...
-
Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa F...
-
Ehud Olmert Mahakama moja nchini Israel imempa kifungo cha miaka sita jela aliyekuwa waziri mkuu nchini Israel Ehud Olmert kwa kosa la ...
-
Kundi la wapiganaji wa Taleban limesema kuwa limemkamata Mbwa kutoka kwa wanajeshi wa Marekani Mashariki mwa Afghanistan. Mbwa aliy...
-
683 wahukumiwa kifo nchini Misri. ...
MITANDAO YA KIJAMII
TAFUTA HABARI ZILIZO SOMWA NYUMA
Pages
WALIO TEMBELEA
Powered by Blogger.
TANGAZA NASI
kwama Matangazo wasiliana nasi kupitia anuani zifuataz
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Email:
mohamedwaziri295@gmail.com
mohamedwaziri21@yahoo.com
contact us:
0762118805
0658118804
info@islamicnews.blogspot.com
Wote mnakalibishwa
Total Pageviews
Labels
DOWNLOAD QASWIDA
islamic
islami news
Social Icons
islamic
Author
CONTACT ME FOR WEB AND BLOG DESIGNING...
Facebook
Twitter
RSS